Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

1 Wakorintho 3:11 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

11 Maana msingi wa namna nyingine hapana mtu awezae kuweka, illa ule uliokwisha kuwekwa, yaani Yesu Kristo.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 Hakuna mtu awezaye kuweka msingi mwingine badala ya ule uliokwisha wekwa, yaani Yesu Kristo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 Hakuna mtu awezaye kuweka msingi mwingine badala ya ule uliokwisha wekwa, yaani Yesu Kristo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 Hakuna mtu awezaye kuweka msingi mwingine badala ya ule uliokwisha wekwa, yaani Yesu Kristo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 Kwa maana hakuna mtu yeyote awezaye kuweka msingi mwingine wowote isipokuwa ule uliokwisha kuwekwa, ambao ni Isa Al-Masihi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 Kwa maana hakuna mtu yeyote awezaye kuweka msingi mwingine wowote isipokuwa ule uliokwisha kuwekwa, ambao ni Isa Al-Masihi.

Tazama sura Nakili

1 Wakorintho 3:11
11 Marejeleo ya Msalaba  

Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na jun ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; na milango ya kuzimu haitalishinda.

Kwa kadiri ya neema ya Mungu niliyopewa, mimi, kama mkuu wa wajenzi mwenye hekima, nimeuweka msingi, na mtu mwingine anajenga juu yake. Lakini killa mtu na aangalie jinsi anavyojenga juu yake.

Lakini kama mtu akijenga juu ya msingi huu dhahabu au fedha au vitu vya thamani au miti au majani an manyasi,

mmejengwa juu ya misingi ya mitume na manabii, na Kristo Yesu mwenyewe ni jiwe kuu la pembeni;

Lakini msingi wa Mungu ulio imara umesimama, wenye muhuri hii, Bwana awajua walio wake; tena, killa alilajae jina la Bwana na aache uovu.

Mkimwendea yeye, jiwe lililo hayi, lililokataliwa na wana Adamu, bali kwa Mungu ni teule, lenye thamani,

Tufuate:

Matangazo

Matangazo