1 Wakorintho 2:2 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19212 Maana naliazimu nisijue neno kwenu illa Yesu Kristo, nae amesulibiwa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Nilipokuwa kwenu niliamua kutojua chochote kile isipokuwa tu kumjua Yesu Kristo; naam, Kristo aliyesulubiwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Nilipokuwa kwenu niliamua kutojua chochote kile isipokuwa tu kumjua Yesu Kristo; naam, Kristo aliyesulubiwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Nilipokuwa kwenu niliamua kutojua chochote kile isipokuwa tu kumjua Yesu Kristo; naam, Kristo aliyesulubiwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Kwa kuwa niliamua kutokujua kitu chochote nilipokuwa nanyi, isipokuwa Isa Al-Masihi aliyesulubiwa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Kwa kuwa niliamua kutokujua kitu chochote wakati nikiwa nanyi isipokuwa Isa Al-Masihi aliyesulubiwa. Tazama sura |