Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

1 Wakorintho 2:16 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

16 Maana ni nani aliyejua nia ya Bwana, amwelemishe? Lakini sisi tuna nia ya Kristo.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

16 Maandiko yasema: “Nani awezaye kuifahamu akili ya Bwana? Nani awezaye kumshauri?” Lakini sisi tunayo akili ya Kristo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

16 Maandiko yasema: “Nani awezaye kuifahamu akili ya Bwana? Nani awezaye kumshauri?” Lakini sisi tunayo akili ya Kristo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

16 Maandiko yasema: “Nani awezaye kuifahamu akili ya Bwana? Nani awezaye kumshauri?” Lakini sisi tunayo akili ya Kristo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

16 “Kwa maana ni nani aliyefahamu mawazo ya Mwenyezi Mungu ili apate kumfundisha?” Lakini sisi tunayo mawazo ya Al-Masihi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

16 “Kwa maana ni nani aliyefahamu mawazo ya Bwana Isa ili apate kumfundisha?” Lakini sisi tunayo mawazo ya Al-Masihi.

Tazama sura Nakili

1 Wakorintho 2:16
12 Marejeleo ya Msalaba  

Siwaiti tena watumwa; kwa maana mtumwa hajui atendalo bwana wake; ninyi nimewaita rafiki; kwa kuwa yote niliyosikia kwa Baba nimewaarifuni.

Maana ni nani aliyeijua nia ya Bwana? Au ni nani aliyekuwa mshauri wake?

Maana mtu mmoja kwa Roho apewa neno la hekima; na mwingine neno la maarifa, ipendavyo Roho yule yule;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo