Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

1 Wakorintho 2:11 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

11 Maana ni nani ayajuae mambo ya bin Adamu illa roho ya bin Adamu iliyo ndani yake? Na vivyo hivyo mambo ya Mungu hakuna ayajuae illa Roho ya Mungu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 Nani awezaye kujua mambo ya ndani ya mtu isipokuwa roho yake mtu huyo? Hali kadhalika, hakuna ajuaye mambo ya Mungu isipokuwa Roho wa Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 Nani awezaye kujua mambo ya ndani ya mtu isipokuwa roho yake mtu huyo? Hali kadhalika, hakuna ajuaye mambo ya Mungu isipokuwa Roho wa Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 Nani awezaye kujua mambo ya ndani ya mtu isipokuwa roho yake mtu huyo? Hali kadhalika, hakuna ajuaye mambo ya Mungu isipokuwa Roho wa Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 Kwa maana ni nani anayejua mawazo ya mtu isipokuwa roho iliyo ndani ya huyo mtu? Vivyo hivyo hakuna mtu ajuaye mawazo ya Mungu isipokuwa Roho Mtakatifu wa Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 Kwa maana ni nani anayejua mawazo ya mtu isipokuwa roho iliyo ndani ya huyo mtu? Vivyo hivyo hakuna mtu ajuaye mawazo ya Mungu isipokuwa Roho wa Mwenyezi Mungu.

Tazama sura Nakili

1 Wakorintho 2:11
8 Marejeleo ya Msalaba  

Maana mtu mmoja kwa Roho apewa neno la hekima; na mwingine neno la maarifa, ipendavyo Roho yule yule;

Lakini Mungu ametufunulia sisi kwa Roho yake. Maana Roho huchunguza yote, hatta mafumbo ya Mungu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo