Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

1 Wakorintho 16:7 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

7 Maana sitaki kuonana nanyi sasa, katika kupita tu, kwa sababu nataraja kukaa kwenu mda wa kitambo, Bwana akinijalia.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 Sipendi kupita kwenu harakaharaka na kuendelea na safari. Natumaini kukaa kwenu kwa kitambo fulani, Bwana akiniruhusu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 Sipendi kupita kwenu harakaharaka na kuendelea na safari. Natumaini kukaa kwenu kwa kitambo fulani, Bwana akiniruhusu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 Sipendi kupita kwenu harakaharaka na kuendelea na safari. Natumaini kukaa kwenu kwa kitambo fulani, Bwana akiniruhusu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 Kwa maana sitaki niwaone sasa na kupita tu; natarajia kuwa nanyi kwa muda wa kutosha, kama Bwana Isa akipenda.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 Kwa maana sitaki niwaone sasa na kupita tu; natarajia kuwa nanyi kwa muda wa kutosha, kama Bwana Isa akipenda.

Tazama sura Nakili

1 Wakorintho 16:7
8 Marejeleo ya Msalaba  

Yesu akajibu, akamwambia, Hayo yaache sasa: kwa kuwa hivi imetupasa kutimiza haki yote. Bassi akamwacha.

bali aliagana nao, akisema. Sina buddi kufanya siku kuu hii inayokuja Yerusalemi: lakini nitarejea kwenu, Mungu akinijalia.

nikiomba nije kwenu sasa katika siku hizi hizi, Mungu akipenda kuifanikisha safari yangu:

Lakini nitakuja kwemi upesi, Bwana akipenda, nami nitajua, si neno lao waliojivuna, bali nguvu zao.

Na nikiwa na timiaini hilo nalitaka kwenda kwenu hapo kwanza, illi mpate karama ya pili;

Badala ya kusema, Bwana akipenda, tutakuwa hayi na kufanya hivi au hivi.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo