Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Wakorintho 16:5 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

5 Lakini nitakuja kwenu, nikipita kati ya Makedonia; maana napita kati ya Makedonia.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 Nitakuja kwenu baada ya kupitia Makedonia – maana nataraji kupitia Makedonia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 Nitakuja kwenu baada ya kupitia Makedonia – maana nataraji kupitia Makedonia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 Nitakuja kwenu baada ya kupitia Makedonia — maana nataraji kupitia Makedonia.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 Baada ya kupitia Makedonia nitakuja kwenu, maana ninakusudia kupitia Makedonia.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 Baada ya kupitia Makedonia nitakuja kwenu, maana ninakusudia kupitia Makedonia.

Tazama sura Nakili




1 Wakorintho 16:5
6 Marejeleo ya Msalaba  

Mambo hayo yalipokwisha kumalizika, Paolo akaazimu rohoni mwake kupita kati ya Makedonia na Akaia aende Yerusalemi, akisema, Baada ya kuwako huko, yanipasa kuuona na Rumi.


maana imewapendeza watu wa Makedonia na Akaya kufanya changizo kwa ajili ya watakatifu katika Yerusalemi walio maskini.


Na kama ikifaa niende na mimi, watasafiri pamoja nami.


Lakini nitakuja kwemi upesi, Bwana akipenda, nami nitajua, si neno lao waliojivuna, bali nguvu zao.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo