Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Wakorintho 16:4 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

4 Na kama ikifaa niende na mimi, watasafiri pamoja nami.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 Kama itafaa nami niende, basi, watakwenda pamoja nami.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 Kama itafaa nami niende, basi, watakwenda pamoja nami.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 Kama itafaa nami niende, basi, watakwenda pamoja nami.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 Ikionekana ni vyema na mimi niende, basi hao watu watafuatana nami.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 Kama ikionekana ni vyema na mimi niende, basi hao watu watafuatana nami.

Tazama sura Nakili




1 Wakorintho 16:4
5 Marejeleo ya Msalaba  

Na sasa ninakwenda Yerusalemi, nikiwakhudumu watakatifu;


nami nitakapofika nitawatuma wale mtakaowachagua kwa nyaraka, wachukue ihsani yenu hatta Yerusalemi.


Lakini nitakuja kwenu, nikipita kati ya Makedonia; maana napita kati ya Makedonia.


Wala si hivyo tu, bali alichaguliwa na makanisa asafiri pamoja nias katika jambo la neema hii inayokhudumiwa nasi, illi Bwana atukuzwe, ikadhihirike ya kuwa mioyo yenu ilikuwa tayari.


kwa khiari yao wenyewe walitoa vitu vyao; wakituomba pamoja na kutusihi tuipokee neema hii, na kushirikiana nao huku kuwakhudumia watakatifu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo