Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Wakorintho 16:20 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

20 Ndugu wote wawasalimu. Kasalimianeni kwa busu takatifu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

20 Ndugu wote wanawasalimuni. Nanyi salimianeni kwa ishara ya mapendo ya Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

20 Ndugu wote wanawasalimuni. Nanyi salimianeni kwa ishara ya mapendo ya Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

20 Ndugu wote wanawasalimuni. Nanyi salimianeni kwa ishara ya mapendo ya Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

20 Ndugu wote walio hapa wanawasalimu. Salimianeni kwa busu takatifu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

20 Ndugu wote walioko hapa wanawasalimu. Salimianeni kwa busu takatifu.

Tazama sura Nakili




1 Wakorintho 16:20
10 Marejeleo ya Msalaba  

Tena mkiwaamkia ndugu zenu tu, mnatenda tendo gani la ziyada? Hatta wattoza ushuru, je, nao hawafanyi kama hayo?


Salimianeni kwa busu takatifu. Makanisa yote ya Kristo yawasalimu.


Timotheo, mtenda kazi pamoja nami, awasalimu, na Lukio, na Yason, na Sosipatro, jamaa zangu.


Gayo, mwenyeji wangu na wa Kanisa lote pia awasalimu. Erasto, wakili wa mji awasalimu, na Kwarto, ndugu yetu.


Watakatifu wote wawasalimu, khassa wao walio wa nyumba ya Kaisari.


Wasalimuni ndugu kwa husu takatifu.


Wasalimuni wote walio na mamlaka juu yenu, na watakatifu wote; walio wa Italia wanakusalimuni.


Salimianeni kwa busu la upendo. Amani na iwe kwenu nyote, katika Kristo Yesu. Amin.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo