Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Wakorintho 16:18 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

18 Maana wamenihurudisha roho yangu, na roho zenu pia; bassi wajueni sana watu kama hao.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

18 Wameiburudisha roho yangu na yenu pia. Kwa hiyo inafaa kuwakumbuka watu wa namna hii.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

18 Wameiburudisha roho yangu na yenu pia. Kwa hiyo inafaa kuwakumbuka watu wa namna hii.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

18 Wameiburudisha roho yangu na yenu pia. Kwa hiyo inafaa kuwakumbuka watu wa namna hii.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

18 Kwa kuwa waliiburudisha roho yangu na zenu pia. Watu kama hawa wanastahili kutambuliwa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

18 Kwa kuwa waliiburudisha roho yangu na zenu pia. Watu kama hawa wanastahili kutambuliwa.

Tazama sura Nakili




1 Wakorintho 16:18
14 Marejeleo ya Msalaba  

nipate kufika kwenu kwa furaha, kama Mungu akipenda, nikapate kupumzika pamoja nanyi.


Kwa hiyo tulifarijiwa; na katika kufarijiwa kwetu tulifurahi sana kupita kiasi kwa sababu ya furaha ya Tito; maana roho yake imeburudishwa na ninyi nyote.


ambae nimemtuma kwenu kwa sababu hiyo hiyo, ajue mambo yenu, akawafariji mioyo yenu;


Lakini, ndugu, tunataka mwajue wale wanaojitaabisha kwa ajili yenu na kuwasimamieni katika Bwana, na kuwaonyeni;


Naam, ndugu yangu, nipate faida kwako katika Bwana; uniburudishe moyo waugu katika Kristo.


Maana tuna furaha na faraja kwa sababu ya upendo wako, kwa kuwa mioyo ya watakatifu lmeburudishwa nawe, ndugu.


Wakumbukeni wale waliokuwa na mamlaka juu yenu, waliowaambia neno la Mungu; tena, kwa kuuchunguza sana mwisho wa maisha zao, iigeni imani yao.


Sina furaha iliyo kuu kuliko hii, kusikia ya kwamba watoto wangu wanakwenda katika kweli.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo