1 Wakorintho 15:9 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19219 Maana mimi mdogo katika mitume, nisiyestahili kutajwa mtume, kwa sababu naliliudhi Kanisa la Mungu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Maana mimi ni mdogo kabisa miongoni mwa mitume, na wala sistahili kuitwa mtume, kwa sababu nililidhulumu kanisa la Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Maana mimi ni mdogo kabisa miongoni mwa mitume, na wala sistahili kuitwa mtume, kwa sababu nililidhulumu kanisa la Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Maana mimi ni mdogo kabisa miongoni mwa mitume, na wala sistahili kuitwa mtume, kwa sababu nililidhulumu kanisa la Mungu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Kwa maana mimi ndiye mdogo kuliko mitume wote, nisiyestahili kuitwa mtume, kwa sababu niliwatesa waumini wa Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Kwa maana mimi ndiye mdogo kuliko mitume wote, nisiyestahili kuitwa mtume, kwa sababu niliwatesa waumini wa Mungu. Tazama sura |