Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Wakorintho 15:51 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

51 Angalieni, nawaambieni siri; hatutalala wote, lakini wote tutabadilika,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

51 Sikilizeni, nawaambieni siri: Sisi hatutakufa sote, ila sote tutageuzwa,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

51 Sikilizeni, nawaambieni siri: Sisi hatutakufa sote, ila sote tutageuzwa,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

51 Sikilizeni, nawaambieni siri: sisi hatutakufa sote, ila sote tutageuzwa,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

51 Sikilizeni, nawaambia siri: Sote hatutalala, lakini sote tutabadilishwa:

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

51 Sikilizeni, nawaambia siri: Sote hatutalala, lakini sote tutabadilishwa

Tazama sura Nakili




1 Wakorintho 15:51
13 Marejeleo ya Msalaba  

Tena nijapokuwa na unabii, na kujua siri zote na maarifa yote, nijapokuwa na imani timilifu kiasi cha kuweza kuhamisha milima, kama simi upendo, si kitu mimi.


Na hapo wao nao waliolala katika Kristo wamepotea.


Lakini sasa Kristo amefufuka, limbuko lao waliolala.


baadae alionekana na ndugu zaidi ya khamsi mia pamoja; katika hao walio wengi wanaishi hatta sasa, wengine wamelala;


bali twanena hekima ya Mungu katika fumbo, ile iliyofichwa, ambayo Mungu aliiazimu tangu asili, kwa utukufu wetu;


MTU na atubesabu hivi, kuwa tu watumishi wa Kristo, na mawakili wa siri za Mungu.


Maana na sisi katika hii twaugua, tukitamani sana kuvikwa vazi jingine, yaani kao letu litokalo mbinguni;


Kwa maana sisi tulio katika maskani hii twaugua, tukilemewa; si kwamba twataka kuvuliwa, hali kuvikwa vazi jingine, illi kitu kile kipatwacho na mauti kimezwe na uzima.


akiisha kutujulisha siri ya nia yake, kwa kadiri ya mapenzi yake, aliyoyakusudia katika yeye huyu,


ya kwamba kwa kufunuliwa nalijulishwa siri ile, kama nilivyotangulia kuandika kwa maneno machache,


Hii ni siri kubwa; lakini nanena khabari ya Kristo na Kanisa.


atakaeubadili mwili wetu wa unyonge, upate kufanana na mwili wake wa utukufu, kwa uweza ule awezao kuvitiisha hatta na vitu vyote chini yake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo