Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Wakorintho 15:50 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

50 Nisemayo ni haya, ndugu, ya kuwa nyama na damu haziwezi kuurithi ufalme wa Mungu; wala uharibifu kurithi kutokuharihika.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

50 Basi, ndugu, nasema hivi: Kile kilichofanywa kwa mwili na damu hakiwezi kuushiriki ufalme wa Mungu; na chenye kuharibika hakiwezi kuwa na hali ya kutoharibika.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

50 Basi, ndugu, nasema hivi: Kile kilichofanywa kwa mwili na damu hakiwezi kuushiriki ufalme wa Mungu; na chenye kuharibika hakiwezi kuwa na hali ya kutoharibika.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

50 Basi, ndugu, nasema hivi: kile kilichofanywa kwa mwili na damu hakiwezi kuushiriki ufalme wa Mungu; na chenye kuharibika hakiwezi kuwa na hali ya kutoharibika.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

50 Ndugu zangu nisemalo ni hili: mwili na damu haviwezi kuurithi ufalme wa Mungu, wala kuharibika kurithi kutokuharibika.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

50 Ndugu zangu nisemalo ni hili: nyama na damu haviwezi kuurithi ufalme wa Mwenyezi Mungu, wala kuharibika kurithi kutokuharibika.

Tazama sura Nakili




1 Wakorintho 15:50
18 Marejeleo ya Msalaba  

Yesu akajibu, akamwambia, U kheri Simon bar Yunus; kwa kuwa nyama na damu hazikukufunulia haya, bali Baba yangu aliye mbinguni.


Kisha Mfalme atawaambia wale walio mkono wake wa kuume, Njoni, mliobarikiwa wa Baba yangu, urithini ufalme mliowekewa tangu kuumbwa ulimwengu:


wale ambao kwa kustahimili katika kutenda mema wanatafuta utukufu na heshima na kutoa kuharibika, nzima wa milele;


Bassi, nasema neno hili, ya kwamba killa mtu wa kwenu husema, Mimi wa Paolo, na mimi wa Apollo, na mimi wa Kefa, na mimi wa Kristo.


Kadhalika na kiyama ya wafu. Hupandwa katika nharibifu; hufufuka pasipo nharibifu;


hupandwa mwili wa asili; hufufuka mwili wa roho. Ikiwa upo mwili wa asili, na wa roho upo.


wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyangʼanyi.


Vyakula ni kwa tumbo, na tumbo ni kwa vyakula; lakini Mungu ataharibu vyote viwili, tumbo na vyakula. Na mwili si kwa zina, hali ni kwa Bwana, nae Bwana ni kwa mwili.


Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike. Waasharati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wa kike, wala wafira,


Lakini, nasema hivi, ndugu, muda ubakio si mwingi; bassi tokea sasa wale walio na wake na wawe kama hawana;


KWA maana twajua ya kuwa nyumba ya maskani yetu iliyo ya dunia ikiharibiwa, tuna jengo litokalo kwa Mungu, nyumha isiyofanywa kwa mikono, iliyo ya milele katika mbingu.


Lakini nasema neno liili, Apandae haha atavuna haha; apandae kwa ukarimu atavuna kwa ukarimu.


Nisemayo ni haya; agano lililofanywa imara kwanza na Mungu, torati iliyotokea miaka aruba mia na thelathini baadae hailitangui, hatta kuibatilisha abadi.


Nasema, Enendeni kwa Roho, nanyi hamtatimiza tamaa za mwili.


Bassi nasema neno bili, tena nashuhudu katika Bwana, tangu sasa msienende kama Mataifa waendavyo, katika ubatili wa nia zao,


Nasema neno hili, mtu asije akawadanganyeni kwa maneno yaliyotungwa illi kuwakosesha.


Na Bwana ataniokoa na killa neno baya na kunihifadhi hatta uje ufalme wake wa milele.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo