Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

1 Wakorintho 15:46 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

46 Lakini hautangulii wa roho, bali wa asili; baadae huja wa roho.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

46 Lakini unaotangulia kuwako si ule mwili wa kiroho, ila ule mwili wa kawaida, kisha ule mwili wa kiroho.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

46 Lakini unaotangulia kuwako si ule mwili wa kiroho, ila ule mwili wa kawaida, kisha ule mwili wa kiroho.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

46 Lakini unaotangulia kuwako si ule mwili wa kiroho, ila ule mwili wa kawaida, kisha ule mwili wa kiroho.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

46 Lakini si ule wa kiroho uliotangulia, bali ni ule wa asili, kisha ule wa kiroho.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

46 Lakini si ule wa kiroho uliotangulia, bali ni ule wa asili, kisha ule wa kiroho.

Tazama sura Nakili

1 Wakorintho 15:46
6 Marejeleo ya Msalaba  

tukijua haya, ya kuwa mtu wetu wa kale alisulibishwa pamoja nae, illi mwili wa dhambi ubatilike, tusitumikie dhambi tena;

Ndivyo ilivyoandikwa, Mtu wa kwanza Adamu alikuwa nafsi hayi; Adamu wa mwisho roho yenye kuhuisha.

Mtu wa kwanza atoka katika inchi, wa udongo. Mtu wa pili atoka mbinguni.

Bassi mwana Adamu wa tabia ya asili hayapokei mambo ya Mungu; maana kwake huyu ni mapumbavu, wala hawezi kuyajua, kwa kuwa yatambulikana kwa jinsi ya rohoni.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo