Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Wakorintho 15:40 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

40 Tena kuna miili ya mbinguni, na miili ya duniani; lakini fakhari yake ya mbingu ni mbali, na fakhari yake ya duniani mbali.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

40 Iko miili ya mbinguni na miili ya duniani; uzuri wa miili ya mbinguni ni mwingine, na uzuri wa miili ya duniani ni mwingine.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

40 Iko miili ya mbinguni na miili ya duniani; uzuri wa miili ya mbinguni ni mwingine, na uzuri wa miili ya duniani ni mwingine.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

40 Iko miili ya mbinguni na miili ya duniani; uzuri wa miili ya mbinguni ni mwingine, na na uzuri wa miili ya duniani ni mwingine.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

40 Pia kuna miili ya mbinguni na miili ya duniani, lakini fahari ya ile miili ya mbinguni ni ya aina moja, na fahari ya ile miili ya duniani ni ya aina nyingine.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

40 Pia kuna miili ya mbinguni na miili ya duniani, lakini fahari wa ile miili ya mbinguni ni wa aina moja na fahari wa ile miili ya duniani ni wa aina nyingine.

Tazama sura Nakili




1 Wakorintho 15:40
3 Marejeleo ya Msalaba  

Nyama yote si nyama moja; bali nyingine ya wana Adamu, nyingine ya ngʼombe, nyingine ya ndege, nyingine ya samaki.


Fakhari ya jua mbali, na fakhari ya mwezi mbali, na fakhari ya nyota mbali; maana iko tofauti ya fakhari kati ya nyota na nyota.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo