Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

1 Wakorintho 15:39 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

39 Nyama yote si nyama moja; bali nyingine ya wana Adamu, nyingine ya ngʼombe, nyingine ya ndege, nyingine ya samaki.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

39 Miili ya viumbe vyote si sawa. Miili ya binadamu ni ya namna moja, ya wanyama ni ya namna nyingine, ya ndege ni ya namna nyingine na miili ya samaki pia ni ya namna nyingine.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

39 Miili ya viumbe vyote si sawa. Miili ya binadamu ni ya namna moja, ya wanyama ni ya namna nyingine, ya ndege ni ya namna nyingine na miili ya samaki pia ni ya namna nyingine.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

39 Miili ya viumbe vyote si sawa. Miili ya binadamu ni ya namna moja, ya wanyama ni ya namna nyingine, ya ndege ni ya namna nyingine na miili ya samaki pia ni ya namna nyingine.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

39 Kwa maana nyama zote si za aina moja. Binadamu wana nyama ya aina moja, wanyama wana aina nyingine, kadhalika ndege na samaki wana nyama tofauti.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

39 Kwa maana nyama zote si za aina moja. Binadamu wana nyama ya aina moja, wanyama wana aina nyingine, kadhalika ndege na samaki wana nyama tofauti.

Tazama sura Nakili

1 Wakorintho 15:39
3 Marejeleo ya Msalaba  

lakini Mungu huipa mwili kama apendavyo, na killa mbegu mwili wake.

Tena kuna miili ya mbinguni, na miili ya duniani; lakini fakhari yake ya mbingu ni mbali, na fakhari yake ya duniani mbali.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo