1 Wakorintho 15:38 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192138 lakini Mungu huipa mwili kama apendavyo, na killa mbegu mwili wake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema38 Mungu huipa hiyo mbegu mwili anaoutaka mwenyewe; kila mbegu hupata mwili wake wa pekee. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND38 Mungu huipa hiyo mbegu mwili anaoutaka mwenyewe; kila mbegu hupata mwili wake wa pekee. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza38 Mungu huipa hiyo mbegu mwili anaoutaka mwenyewe; kila mbegu hupata mwili wake wa pekee. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu38 Lakini Mungu huipa mbegu umbo kama alivyokusudia mwenyewe na kila aina ya mbegu huipa umbo lake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu38 Lakini Mungu huipa mbegu umbo kama alivyokusudia mwenyewe na kila aina ya mbegu huipa umbo lake. Tazama sura |