1 Wakorintho 15:37 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192137 nayo uipandayo, huupandi mwili ule utakaokuwa, illa punje tupu, ikiwa ya nganu au nyingineyo; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema37 Unachopanda ni mbegu tu, labda ya ngano au nafaka nyingine, na si mmea mzima ambao hutokea baadaye. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND37 Unachopanda ni mbegu tu, labda ya ngano au nafaka nyingine, na si mmea mzima ambao hutokea baadaye. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza37 Unachopanda ni mbegu tu, labda ya ngano au nafaka nyingine, na si mmea mzima ambao hutokea baadaye. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu37 Mpandapo, hampandi mwili ule utakao kuwa, bali mwapanda mbegu tu, pengine ya ngano au ya kitu kingine. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu37 Mpandapo, hampandi mwili ule utakao kuwa, bali mwapanda mbegu tu, pengine ya ngano au ya kitu kingine. Tazama sura |