Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Wakorintho 15:25 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

25 Maana sharti amiliki yeye, hatta awaweke maadui wote chini ya miguu yake.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

25 Maana Kristo sharti atawale mpaka Mungu atakapowashinda maadui zake wote na kuwaweka chini ya miguu yake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

25 Maana Kristo sharti atawale mpaka Mungu atakapowashinda maadui zake wote na kuwaweka chini ya miguu yake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

25 Maana Kristo sharti atawale mpaka Mungu atakapowashinda maadui zake wote na kuwaweka chini ya miguu yake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

25 Kwa maana lazima Al-Masihi atawale hadi awe amewaweka adui zake wote chini ya miguu yake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

25 Kwa maana lazima Al-Masihi atawale mpaka awe amewaweka adui zake wote chini ya miguu yake.

Tazama sura Nakili




1 Wakorintho 15:25
12 Marejeleo ya Msalaba  

Bwana alimwambia Bwana wangu, Keti mkono wangu wa kuume, Hatta niwawekapo adui zako chini ya miguu yako?


Kwa sababu Daud mwenyewe alisema, kwa uwezo wa Roho Mtakatifu, Bwana alimwambia Bwana wangu, Keti mkono wangu wa kuume Hatta niwafanyapo adui zako kuwa chini ya miguu yako.


Maana Daud hakupanda mbinguni: bali yeye mwenyewe amesema, Bwana alimwambia Bwana wangu, Keti mkono wangu wa kuume.


akavitia vitu vyote chini ya miguu yake, akamweka awe kichwa juu ya vitu vyote kwa ajiii ya kanisa,


Je! yuko malaika aliyeambiwa nae maneno haya wakati wo wote, Uketi mkono wangu wa kuume hatta nitakapoweka adui zako chiui ya nyayo zako?


nmetia vitu vyote chini ya uyayo zake. Kwa maana katika kutia vitu vyote chini yake hakusaza kitu kisichotiwa. Illakini sasa hado hatujaona vitu vyote kutiwa chini yake,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo