1 Wakorintho 15:16 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192116 Maana kama wafu hawafufuliwi, Kristo nae hakufufuliwa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Maana, ikiwa ni kweli kwamba wafu hawafufuki, basi naye Kristo hakufufuka. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Maana, ikiwa ni kweli kwamba wafu hawafufuki, basi naye Kristo hakufufuka. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Maana, ikiwa ni kweli kwamba wafu hawafufuki, basi naye Kristo hakufufuka. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Kwa kuwa kama wafu hawafufuliwi, basi hata Al-Masihi hajafufuka. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Kwa kuwa kama wafu hawafufuliwi, basi hata Al-Masihi hajafufuka. Tazama sura |