Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

1 Wakorintho 15:15 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

15 Naam, na sisi tumeonekana kuwa mashahidi wa uwongo wa Mungu; kwa maana tulimshuhudia Mungu ya kuwa alimfufua Kristo, ambae hakumfufua, ikiwa wafu hawafufuliwi.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

15 Zaidi ya hayo sisi tungekuwa mashahidi wa uongo mbele ya Mungu, maana tulisema kwamba Mungu alimfufua Kristo kutoka kwa wafu na kumbe yeye hakumfufua – kama ni kweli kwamba wafu hawafufuliwi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

15 Zaidi ya hayo sisi tungekuwa mashahidi wa uongo mbele ya Mungu, maana tulisema kwamba Mungu alimfufua Kristo kutoka kwa wafu na kumbe yeye hakumfufua – kama ni kweli kwamba wafu hawafufuliwi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

15 Zaidi ya hayo sisi tungekuwa mashahidi wa uongo mbele ya Mungu, maana tulisema kwamba Mungu alimfufua Kristo kutoka kwa wafu na kumbe yeye hakumfufua — kama ni kweli kwamba wafu hawafufuliwi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

15 Zaidi ya hayo, twaonekana kuwa mashahidi wa uongo kuhusu Mungu, kwa sababu tumeshuhudia kumhusu Mungu kwamba alimfufua Al-Masihi kutoka kwa wafu, lakini hilo haliwezi kuwa kweli kama wafu hawafufuliwi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

15 Zaidi ya hayo, twaonekana kuwa mashahidi wa uongo kuhusu Mungu, kwa sababu tumeshuhudia kumhusu Mungu kwamba alimfufua Al-Masihi kutoka kwa wafu, lakini hilo haliwezi kuwa kweli kama wafu hawafufuliwi.

Tazama sura Nakili

1 Wakorintho 15:15
13 Marejeleo ya Msalaba  

Mungu akamfufua, akilegeza utungu wa mauti, kwa sababu haikuwezekana ashikwe nao.

Yesu huyo Mungu alimfufua, na sisi sote tu mashahidi wake.

nikiwashuhudia Wayahudi na Wayunani toba iliyo kwa Mungu, na imani iliyo kwa Bwana wetu Yesu Kristo.

jueni ninyi nyote na watu wote wa Israeli ya kuwa kwa jina la Yesu Mnazareti, ambae ninyi mlimsulibisha, Mungu akamfufua, kwa jina hilo mtu huyu anasimama mzima mbele yenu.

Na mitume wakatoa ushuhuda wa kufufuka kwake Yesu kwa uguvu nyingi. Neema nyingi ikawa juu yao wote.

Lakini kama hakuna kiyama ya wafu, Kristo nae hakufufuliwa:

Maana kama wafu hawafufuliwi, Kristo nae hakufufuliwa.

Lakini sasa Kristo amefufuka, limbuko lao waliolala.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo