Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Wakorintho 15:12 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

12 Bassi, ikiwa Kristo amekhubiriwa kwenu ya kwamba amefufuka, mbona wengine wenu wasema kwamba hakuna kiyama ya wafu?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 Sasa, maadamu inahubiriwa kwamba Kristo amefufuliwa kutoka kwa wafu, baadhi yenu wanawezaje kusema kwamba hakuna ufufuo wa wafu?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 Sasa, maadamu inahubiriwa kwamba Kristo amefufuliwa kutoka kwa wafu, baadhi yenu wanawezaje kusema kwamba hakuna ufufuo wa wafu?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 Sasa, maadamu inahubiriwa kwamba Kristo amefufuliwa kutoka kwa wafu, baadhi yenu wanawezaje kusema kwamba hakuna ufufuo wa wafu?

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 Basi kama tumehubiri kwamba Al-Masihi alifufuliwa kutoka kwa wafu, mbona baadhi yenu mnasema hakuna ufufuo wa wafu?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 Basi kama tumehubiri ya kwamba Al-Masihi alifufuliwa kutoka kwa wafu, mbona baadhi yenu mnasema hakuna ufufuo wa wafu?

Tazama sura Nakili




1 Wakorintho 15:12
7 Marejeleo ya Msalaba  

Bassi waliposikia khabari za ufufuo wa wafu wengine wakadhihaki: wengine wakasema, Tutakusikiliza tena khabari hiyo.


Kwa maana Masadukayo husema ya kwamba hakuna kiyama wala malaika na roho: bali Mafarisayo hukiri yote mawili.


Kwa nini limedhaniwa nanyi kuwa neno lisilosadikika, kwamba Mungu awafufua wafu?


Bassi, kama ni mimi, kama ni wale, ndivyo tukhubirivyo, na ndivyo mlivyoamini.


awafariji mioyo yenu, na kuwafanya imara katika killa neno na tendo jema.


walioikosa kweli, wakisema ya kwamba kiyama imekwisha kuwapo, nao waipindua imani ya watu wengine.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo