Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

1 Wakorintho 14:9 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

9 Vivyo hivyo na ninyi, msipotoa kwa ile lugha neno lililo dhahiri, neno lile linenwalo litajulikanaje? Maana nitakuwa mkinena katika hewa tu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 Hali kadhalika na nyinyi, kama ulimi wenu hausemi kitu chenye kueleweka, nani ataweza kufahamu mnayosema? Maneno yenu yatapotea hewani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 Hali kadhalika na nyinyi, kama ulimi wenu hausemi kitu chenye kueleweka, nani ataweza kufahamu mnayosema? Maneno yenu yatapotea hewani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 Hali kadhalika na nyinyi, kama ulimi wenu hausemi kitu chenye kueleweka, nani ataweza kufahamu mnayosema? Maneno yenu yatapotea hewani.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 Vivyo hivyo na ninyi, mkinena maneno yasiyoeleweka katika akili, mtu atajuaje mnalosema? Kwa maana mtakuwa mnasema hewani tu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 Vivyo hivyo na ninyi, kama mkinena maneno yasiyoeleweka katika akili, mtu atajuaje mnalosema? Kwa maana mtakuwa mnasema hewani tu.

Tazama sura Nakili

1 Wakorintho 14:9
2 Marejeleo ya Msalaba  

Yumkini ziko sauti za namna nyingi duniani, wala hapana moja isiyo na maana.

Hatta mimi napiga mbio vivyo hivyo, si kama asitae; napigana vivyo hivyo, si kama apigae hewa:

Tufuate:

Matangazo

Matangazo