Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Wakorintho 14:40 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

40 Mambo yote yatendeke kwa uzuri na kwa utaratihu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

40 Lakini yote yafanyike kwa heshima na kwa utaratibu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

40 Lakini yote yafanyike kwa heshima na kwa utaratibu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

40 Lakini yote yafanyike kwa heshima na kwa utaratibu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

40 Lakini kila kitu kitendeke kwa ufasaha na kwa utaratibu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

40 Lakini kila kitu kitendeke kwa heshima na kwa utaratibu.

Tazama sura Nakili




1 Wakorintho 14:40
6 Marejeleo ya Msalaba  

Kama ilivyokhusika na mchana tuenende kwa adabu; si kwa ulafi na ulevi, si kwa ufasiki na uasharati, si kwa ugomvi na wivu.


mtu akiwa na njaa, ale nyumbani; msipate kukutanika kwa hukumu. Nayo yaliyosalia nijapo nitayatengeneza.


Maana nijapokuwa sipo kwa mwili, illakini nipo pamoja nanyi kwa roho, nikifurahi na kuuona utaratibu wenu na uthabiti wa imani yenu katika Kristo.


Kwa sababu hii nalikuaeba katika Krete, illi nyatengeneze yaliyosalia, na kuweka wazee katika killa mji kama nilivyokuamuru;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo