Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Wakorintho 14:34 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

34 Wanawake wanyamaze katika kanisa, maana hawana rukhusa kunena; bali watii, kama vile inenavyo sharia nayo.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

34 Kama ilivyo desturi katika makanisa yote ya watu wa Mungu, wanawake wakae kimya katika mikutano ya waumini. Hawana ruhusa kusema; ila wawe watii kama isemavyo sheria.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

34 Kama ilivyo desturi katika makanisa yote ya watu wa Mungu, wanawake wakae kimya katika mikutano ya waumini. Hawana ruhusa kusema; ila wawe watii kama isemavyo sheria.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

34 Kama ilivyo desturi katika makanisa yote ya watu wa Mungu, wanawake wakae kimya katika mikutano ya waumini. Hawana ruhusa kusema; ila wawe watii kama isemavyo sheria.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

34 wanawake wanapaswa kuwa kimya katika kundi la waumini. Hawaruhusiwi kusema, bali wanyenyekee kama Torati isemavyo.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

34 wanawake wanapaswa kuwa kimya kanisani. Hawaruhusiwi kusema, bali wanyenyekee kama sheria isemavyo.

Tazama sura Nakili




1 Wakorintho 14:34
15 Marejeleo ya Msalaba  

Hukumuni ninyi wenyewe katika nafsi zenu. Je! inapendeza mwanamke amwombe Mungu asipofunikwa kichwa chake?


Lakini nataka mjue ya kuwa kichwa cha killa mwanamume ni Kristo na kichwa cha mwanamke ni mwanamume, na kichwa cha Kristo ni Mungu.


Bali killa mwanamke asalipo, au atoapo unabii, bila kufunika kichwa chake, yuaibisha kichwa chake; kwa maana yu sawa sawa nae aliyekata nywele zake.


Imeandikwa katika torati ya kama, Nitanena na watu hawa kwa watu wa lugha nyingine, na kwa midomo ya wageni, na hatta hivi hawatanisikia, asema Bwana.


Na wakitaka kujifunza neno, na waulize waume zao wenyewe nyumbani mwao; maana ni aibu, wanawake kunena katika kanisa.


Illakini killa mtu ampende mke wake kama nafsi yake mwenyewe; na mke asikose kumstahi mumewe.


Ninyi wake, watiini waume zenu, kania ipendezavyo katika Bwana.


na kuwa wenye niasi, na kuwa safi, kukaa nyumbani mwao, kuwa wema, kuwatii waume zao weuyewe, illi neno la Muugu lisitukanwe.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo