Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

1 Wakorintho 14:27 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

27 Kama mtu akinena kwa lugha, wanene wawili au watatu, si zaidi, tena zamu kwa zamu, na mmoja afasiri.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

27 Wakiwapo watu wenye vipaji vya kusema kwa lugha ngeni, waseme wawili au watatu, si zaidi, tena mmojammoja; na aweko mtu wa kufafanua yanayosemwa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

27 Wakiwapo watu wenye vipaji vya kusema kwa lugha ngeni, waseme wawili au watatu, si zaidi, tena mmojammoja; na aweko mtu wa kufafanua yanayosemwa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

27 Wakiwapo watu wenye vipaji vya kusema kwa lugha ngeni, waseme wawili au watatu, si zaidi, tena mmojammoja; na aweko mtu wa kufafanua yanayosemwa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

27 Kama mtu yeyote akinena kwa lugha, basi waseme watu wawili au watatu, si zaidi, mmoja baada ya mwingine, na lazima awepo mtu wa kutafsiri.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

27 Kama mtu yeyote akinena kwa lugha, basi waseme watu wawili au watatu, si zaidi, mmoja baada ya mwingine, na lazima awepo mtu wa kutafsiri.

Tazama sura Nakili

1 Wakorintho 14:27
6 Marejeleo ya Msalaba  

na mwingine kutenda kazi za miujiza; na mwingine unabii; na mwingine kupambanua roho; mwingine aina za lugha; na mwingine tafsiri za lugha;

Kwa hiyo yeye anenae kwa lugha na aombe apewe kufasiri.

Maana yeye anenae kwa lugha, haneni na watu, bali na Mungu; maana hapana asikiae; lakini anena mambo ya siri katika roho yake.

Imekuwaje bassi, ndugu? Mkutanapo pamoja, killa mmoja ana zaburi, ana fundisho, ana lugha, ana ufunuo, ana tafsiri. Mambo yote na yatendeke kwa kusudi la kujenga.

Lakini asipokuwapo mwenye kufasiri na anyamaze katika kanisa; anene na nafsi yake au na Mungu.

Nami nataka ninyi nyote mnene kwa lugha, lakini zaidi sana mpate kukhutubu; maana yeye akhutubuye ni mkuu kuliko yeye anenae kwa lugha, isipokuwa afasiri, illi kusudi Kanisa lipate kujengwa.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo