Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

1 Wakorintho 14:23 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

23 Bassi ikiwa kanisa lote limekusanyika pamoja, na wote wananena kwa lugha, kiisha wakaingia watu wajinga au wasioamini, je! hawatasema ya kwamba mna wazimu?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

23 Basi, kanisa lote linapokutana pamoja, na wote wakaanza kusema kwa lugha ngeni, kama wakija watu wa kawaida au wasioamini, je, hawatasema kwamba nyinyi mna wazimu?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

23 Basi, kanisa lote linapokutana pamoja, na wote wakaanza kusema kwa lugha ngeni, kama wakija watu wa kawaida au wasioamini, je, hawatasema kwamba nyinyi mna wazimu?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

23 Basi, kanisa lote linapokutana pamoja, na wote wakaanza kusema kwa lugha ngeni, kama wakija watu wa kawaida au wasioamini, je, hawatasema kwamba nyinyi mna wazimu?

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

23 Kwa hiyo kama kundi la waumini wote wakikutana na kila mmoja akanena kwa lugha, kisha wakaingia wageni wasioelewa au wasioamini, je, hawatasema kwamba wote mna wazimu?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

23 Kwa hiyo kama kundi la waumini lote likikutana na kila mmoja akanena kwa lugha, kisha wakaingia wageni wasioelewa au wasioamini, je, hawatasema kwamba wote mna wazimu?

Tazama sura Nakili

1 Wakorintho 14:23
6 Marejeleo ya Msalaba  

bassi, bwana wa mtumwa yule atakuja siku asiyodhani na saa asiyojua, atamkata vipande vipande, atampa sehemu yake pamoja na wasioamini.

Wengi wao wakasema, Ana pepo, tena ana wazimu; mbona mnamsikiliza?

Wengine walidhihaki, wakisema, Wamelewa kwa mvinyo mpya.

Alipokuwa akijitetea hivi, Festo akasema kwa sauti kuu, Paolo, una wazimu, kusoma kwako kwingi kumekugenza akili zako.

kwa maana kwanza mkutanikapo kanisani nasikia kuna faraka kwenu; na nussu kidogo nasadiki:

Tufuate:

Matangazo

Matangazo