Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

1 Wakorintho 14:21 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

21 Imeandikwa katika torati ya kama, Nitanena na watu hawa kwa watu wa lugha nyingine, na kwa midomo ya wageni, na hatta hivi hawatanisikia, asema Bwana.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

21 Imeandikwa katika sheria: “Bwana asema hivi: ‘Kwa njia ya wenye kunena lugha ngeni, na kwa midomo ya wageni, nitasema na watu hawa, hata hivyo, hawatanisikiliza.’”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

21 Imeandikwa katika sheria: “Bwana asema hivi: ‘Kwa njia ya wenye kunena lugha ngeni, na kwa midomo ya wageni, nitasema na watu hawa, hata hivyo, hawatanisikiliza.’”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

21 Imeandikwa katika sheria: “Bwana asema hivi: ‘Kwa njia ya wenye kunena lugha ngeni, na kwa midomo ya wageni, nitasema na watu hawa, hata hivyo, hawatanisikiliza.’”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

21 Katika Torati imeandikwa kwamba: “Kupitia kwa watu wenye lugha ng’eni na kupitia midomo ya wageni, nitasema na watu hawa, lakini hata hivyo hawatanisikiliza, asema Mwenyezi Mungu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

21 Katika Torati imeandikwa kwamba: “Kupitia kwa watu wenye lugha ng’eni na kupitia midomo ya wageni, nitasema na watu hawa, lakini hata hivyo hawatanisikiliza,” asema Bwana Mwenyezi Mungu.

Tazama sura Nakili

1 Wakorintho 14:21
7 Marejeleo ya Msalaba  

Yesu akawajibu, Haikuandikwa katika torati yenu, ya kama, Mimi nilisema, Ninyi m miungu?

Wote wakajazwa Roho Mtakatifu, wakaanza kusema kwa lugha mbalimbali, kama Roho alivyowajalia kutamka.

Twajua ya kuwa mambo yote yasemwayo na torati huyanena kwa hao walio chini ya torati, illi killa kinywa kifumbwe, ulimwengu wote ukapasiwe na hukumu ya Mungu:

Wanawake wanyamaze katika kanisa, maana hawana rukhusa kunena; bali watii, kama vile inenavyo sharia nayo.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo