Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Wakorintho 13:6 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

6 haufurahii udhalimu, bali hufurahi pamoja na kweli;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

6 hafurahii uovu, bali hufurahia ukweli.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

6 hafurahii uovu, bali hufurahia ukweli.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

6 hafurahii uovu, bali hufurahia ukweli.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

6 Upendo haufurahii mabaya bali hufurahi pamoja na kweli.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

6 Upendo haufurahii mabaya bali hufurahi pamoja na kweli.

Tazama sura Nakili




1 Wakorintho 13:6
27 Marejeleo ya Msalaba  

Hatta akipata kumwona, amin nawaambieni, amfurahia huyu zaidi, kuliko wale tissa na tissaini wasiopotea.


Wakafurahi, wakapatana kumpa fedha.


ambao wakijua sana hukumu ya haki ya Mungu, ya kwamba wayatendao haya wamestahili mauti, wanafanya haya, wala si hivyotu, bali wakubaliana nao wayatendao.


Pendo niwe nalo pasipo unafiki; mkichukia lililo ovu, mkiambatana na lililo jema.


Yadhuru nini? bali kwa njia zote, ikiwa ni kwa hila, au ikiwa ni kwa kweli, Kristo anakhubiriwa; na kwa hiyo nafurahi, naam, nami nitafurahi.


siku zote killa niwaombeapo ninyi nyote nikisema sala zangu kwa furaha,


Maana wengi huenenda, nimewaambieni marra nyingi khabari zao, na hatta sasa nawaambieni kwa machozi, kuwa ni adui za msalaba wa Kristo;


illi wahukumiwe wote wasioamini kweli, bali walikuwa wakijifurahisha katika udhalimu.


Nalifurahi mno kwa kuwa naliwaona baadhi ya watoto wako wanaenenda katika kweli, kama vile tulivyopokea amri kwa Baba.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo