1 Wakorintho 12:7 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19217 Lakini killa mmoja hupewa ufunuo wa Roho illi kufaidia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Kila mtu hupewa mwangaza wa Roho kwa faida ya wote. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Kila mtu hupewa mwangaza wa Roho kwa faida ya wote. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Kila mtu hupewa mwangaza wa Roho kwa faida ya wote. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Basi kila mmoja hupewa ufunuo wa Roho wa Mungu kwa faida ya wote. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Basi kila mmoja hupewa ufunuo wa Roho kwa faida ya wote. Tazama sura |