Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Wakorintho 12:6 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

6 pana tofauti za kutenda kazi, bali Mungu yule yule azitendae kazi zote katika wote.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

6 Kuna namna mbalimbali za kufanya kazi ya huduma, lakini Mungu ni mmoja, anayewezesha kazi zote katika wote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

6 Kuna namna mbalimbali za kufanya kazi ya huduma, lakini Mungu ni mmoja, anayewezesha kazi zote katika wote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

6 Kuna namna mbalimbali za kufanya kazi ya huduma, lakini Mungu ni mmoja, anayewezesha kazi zote katika wote.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

6 Kisha kuna tofauti za kutenda kazi, lakini ni Mungu yule yule atendaye kazi zote kwa watu wote.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

6 Kisha kuna tofauti za kutenda kazi, lakini ni Mwenyezi Mungu yule yule atendaye kazi zote kwa watu wote.

Tazama sura Nakili




1 Wakorintho 12:6
12 Marejeleo ya Msalaba  

Yesu akawajibu, Baba yangu anatenda kazi hatta sasa, nami ninatenda kazi.


lakini kazi hizi zote huzitenda Roho huyo mmoja, yule yule, akimgawia killa mmoja peke yake kama apendavyo yeye.


Pana tofauti za khuduma, na Bwana vule yule;


Bassi, vitu vyote vikiisha kutiishwa chini yake, ndipo Mwana mwenyewe nae atatiishwa chini yake aliyemtiishia vitu vyote, illi Mungu awe yote katika yote.


Kama ni hivyo, apandae si kitu, wala atiae maji, bali Mungu akuzae.


Mungu mmoja, nae Baba wa wote, aliye juu yote, na kwa yote, na katika yote.


kwa maana ni Mungu atendae ndani yenu, kutaka kwenu na kutenda kwenu, kwa ajili ya kusudi lake jema.


nami najitaabisha kwa hiyo, nikijitahidi kwa kadiri ya kutenda kazi kwake atendae kazi ndani yangu kwa nguvu.


Hapo hapana Myunani wala Myahudi, kutahiriwa wala kutokutahiriwa, mshenzi wala Mskuthi, mtumwa wala mungwana, bali Kristo ni yote, na katika wote.


awafanye kuwa wrakamilifu katika killa tendo jema, mpate kuyafanya mapenzi yake, nae akifanya ndani yetu lipendezalo mbele zake, kwa Yesu Kristo; utukufu una yeye milele na milele. Amin.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo