Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Wakorintho 12:5 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

5 Pana tofauti za khuduma, na Bwana vule yule;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 Kuna namna nyingi za kutumikia, lakini Bwana anayetumikiwa ni mmoja.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 Kuna namna nyingi za kutumikia, lakini Bwana anayetumikiwa ni mmoja.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 Kuna namna nyingi za kutumikia, lakini Bwana anayetumikiwa ni mmoja.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 Kuna huduma za aina mbalimbali, lakini Bwana Isa ni yule yule.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 Kuna huduma za aina mbalimbali, lakini Bwana Isa ni yule yule.

Tazama sura Nakili




1 Wakorintho 12:5
10 Marejeleo ya Msalaba  

Wala msiitwe wakufunzi; maana mkufunzi wenu yu mmoja, ndiye Kristo.


Neno lile alilowapelekea wana wa Israeli, akikhubiri amani kwa Yesu Kristo (ndiye Bwana wa wote),


Pana tofauti za karama; bali Roho yule yule.


pana tofauti za kutenda kazi, bali Mungu yule yule azitendae kazi zote katika wote.


illakini kwetu sisi yuko Mungu mmoja tu, aliye Baba, ambae vitu vyote vimetokana nae, na sisi twarejea kwake; na yuko Bwana mmoja Yesu Kristo, ambae kwa sabiki yake vitu vyote vimekuwa, na sisi kwa sabiki yake.


killa ulimi ukiri ya kuwa Yesu Kristo ni Bwana, kwa utukufu wa Mungu Baba.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo