Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Wakorintho 12:31 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

31 Na tena nawaonyesha njia iliyo bora sana.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

31 Muwe basi, na tamaa ya kupata vipaji muhimu zaidi. Nami sasa nitawaonesheni njia bora zaidi kuliko hizi zote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

31 Muwe basi, na tamaa ya kupata vipaji muhimu zaidi. Nami sasa nitawaonesheni njia bora zaidi kuliko hizi zote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

31 Muwe basi, na tamaa ya kupata vipaji muhimu zaidi. Nami sasa nitawaonesheni njia bora zaidi kuliko hizi zote.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

31 Basi tamanini sana karama zilizo kuu. Nami nitawaonesha njia iliyo bora zaidi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

31 Basi tamanini sana karama zilizo kuu. Nami nitawaonyesha njia iliyo bora zaidi.

Tazama sura Nakili




1 Wakorintho 12:31
8 Marejeleo ya Msalaba  

Wa kheri wenye njaa na kiu ya haki: maana hawo watashiba.


lakini kuna haja ya kitu kimoja tu, na Mariamu ameichagua sehemu iliyo njema, ambayo hataondolewa.


NIJAPOSEMA kwa lugha za wana Adamu na za malaika, kama sina upendo, nimekuwa shaba iliayo na upato uvumao.


UFUATIENI upendo, katakeni sana karama za rohoni, lakini zaidi mpate kukhutubu.


Kwa ajili ya hayo, ndugu, takeni sana kukhutubu, wala msikataze kunena kwa lugha.


NA kwa khabari ya vitu, vilivyotolewa sadaka kwa sanamu; Twajua ya kuwa sisi sote tuna elimu. Elimu huleta majivuno, bali upendo hujenga.


Naam, naliona mambo yote kuwa khasara kwa ajili ya uzuri usio kiasi wa kumjua Kristo Yesu, Bwana wangu; ambae kwa ajili yake nimepata khasara ya mambo yote, nikiyahesabu kuwa kania mavi illi nimpate Kristo;


Kwa imani Habil alimtolea Mungu dhabihu iliyo bora kuliko Kain; kwa hiyo alishuhudiwa kuwa ana haki; Mungu akazishuhudia sadaka zake, na kwa hiyo ijapokuwa amekufa, angali akinena.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo