Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

1 Wakorintho 12:30 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

30 wote wana karama za kuponya wagonjwa? wote wanena lugha? wote wafasiri? Takeni sana karama zilizo njema zaidi.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

30 Je, wote ni wenye kipaji cha kuponya? Je, wote ni wenye kipaji cha kusema lugha ngeni? Je, wote hufafanua lugha?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

30 Je, wote ni wenye kipaji cha kuponya? Je, wote ni wenye kipaji cha kusema lugha ngeni? Je, wote hufafanua lugha?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

30 Je, wote ni wenye kipaji cha kuponya? Je, wote ni wenye kipaji cha kusema lugha ngeni? Je, wote hufafanua lugha?

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

30 Je, wote wana karama ya kuponya? Je, wote hunena kwa lugha mpya? Je, wote wanatafsiri?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

30 Je, wote wana karama ya kuponya? Je, wote hunena kwa lugha mpya? Je, wote wanatafsiri?

Tazama sura Nakili

1 Wakorintho 12:30
5 Marejeleo ya Msalaba  

na mwingine kutenda kazi za miujiza; na mwingine unabii; na mwingine kupambanua roho; mwingine aina za lugha; na mwingine tafsiri za lugha;

Na Mungu ameweka wengine katika Kanisa, wa kwanza mitume, wa pili manabii, wa tatu waalimu, kiisha miujiza, kiisha karama za kuponya wagonjwa, na masaidiano, na kutawala, na aina za lugha.

Je! wote ni mitume? wote ni manabii? wote ni waalimu? wote wanatenda miujiza?

mwingine imani katika Roho yule yule; na mwingine karama za kuponya katika Roho yule mmoja;

Kwa hiyo yeye anenae kwa lugha na aombe apewe kufasiri.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo