Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Wakorintho 12:26 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

26 Na kiungo kimoja kikiumia, viungo vyote huumia navyo, na kiungo kimoja kikitukuzwa, viungo vyote hufurahi pamoja.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

26 Kama kiungo kimoja kinaumia viungo vyote huumia pamoja nacho. Kiungo kimoja kikisifiwa viungo vingine vyote hufurahi pamoja nacho.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

26 Kama kiungo kimoja kinaumia viungo vyote huumia pamoja nacho. Kiungo kimoja kikisifiwa viungo vingine vyote hufurahi pamoja nacho.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

26 Kama kiungo kimoja kinaumia viungo vyote huumia pamoja nacho. Kiungo kimoja kikisifiwa viungo vingine vyote hufurahi pamoja nacho.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

26 Kama kiungo kimoja kikiumia, viungo vyote huumia pamoja nacho; kama kiungo kimoja kikipewa heshima, viungo vyote hufurahi pamoja nacho.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

26 Kama kiungo kimoja kikiumia, viungo vyote huumia pamoja nacho, kama kiungo kimoja kikipewa heshima, viungo vyote hufurahi pamoja nacho.

Tazama sura Nakili




1 Wakorintho 12:26
9 Marejeleo ya Msalaba  

Yesu akajibu, akamwambia, Hayo yaache sasa: kwa kuwa hivi imetupasa kutimiza haki yote. Bassi akamwacha.


Jicho lako la kuume likikukosesha, lingʼoe ulitupe mbali nawe: kwa maana yakufaa kiungo chako kimoja kipotee wala mwili wako mzima usitupwe katika jehannum.


Furahini pamoja nao wafurahio; lieni pamoja nao waliao.


illi kusiwe fitina katika mwili, hali viungo vitunzane.


Na ninyi m mwili wa Kristo, na viungo vya mwili huo, mmoja hiki na mmoja hiki.


Mchukuliane mizigo mkaitimize hivyo sharia ya Kristo.


Wakumbukeni waliofungwa kana kwamba mmefungwa pamoja nao; nao wanaodhulumiwa, kwa kuwa nanyi m katika mwili.


Neno la mwisbo ni hili; mwe na nia moja, wahurumianao, wenye kupendana kama ndugu, wasikitikivu, wanyenyekevu;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo