Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Wakorintho 12:25 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

25 illi kusiwe fitina katika mwili, hali viungo vitunzane.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

25 ili kusiweko na utengano katika mwili, bali viungo vyote vishughulikiane.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

25 ili kusiweko na utengano katika mwili, bali viungo vyote vishughulikiane.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

25 ili kusiweko na utengano katika mwili, bali viungo vyote vishughulikiane.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

25 ili pasiwe na mafarakano katika mwili, bali viungo vyote vihudumiane kwa usawa kila kimoja na mwenzake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

25 ili pasiwe na mafarakano katika mwili, bali viungo vyote vihudumiane kwa usawa kila kimoja na mwenzake.

Tazama sura Nakili




1 Wakorintho 12:25
8 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa maana viungo vyetu vilivyo na uzuri havina uhitaji; hali Mungu ameuungamanisha mwili, na kukipa heshima kile kiungo kilichopungukiwa;


Na kiungo kimoja kikiumia, viungo vyote huumia navyo, na kiungo kimoja kikitukuzwa, viungo vyote hufurahi pamoja.


Maana, ikiwa kwenu kuna husuda na fitina na faraka, je! si watu wa tabia za mwilini ninyi; tena mnaenenda kwa jinsi ya kibinadamu.


Khatimae, ndugu, kwa kherini; mtimilike, mfarajike, nieni mamoja, mkae katika imani; na Mungu wa upendo na amani awe pamoja nanyi.


Bassi, ijapokuwa naliwaandikia, sikuandika kwa ajili yake yeye aliyedhulumu, wala si kwa ajili yake aliyedhulumiwa, bali ijtihadi yenu kwa ajili yetu ipate kudhihirishwa kwenu mbele za Mungu.


Lakini Mungu ashukuriwe atiae bidii ile ile kwa ajili yenu katika moyo wa Tito.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo