Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Wakorintho 12:17 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

17 Kama mwili wote ukiwa jicho, ku wapi kusikia? kama wote ni sikio ku wapi kuona?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Kama mwili wote ungekuwa jicho, sikio lingekuwa wapi? Na kama mwili wote ungekuwa sikio, mtu angewezaje kunusa?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Kama mwili wote ungekuwa jicho, sikio lingekuwa wapi? Na kama mwili wote ungekuwa sikio, mtu angewezaje kunusa?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Kama mwili wote ungekuwa jicho, sikio lingekuwa wapi? Na kama mwili wote ungekuwa sikio, mtu angewezaje kunusa?

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 Kama mwili wote ungakuwa jicho tu, kusikia kungekuwa wapi? Au kama mwili wote ungekuwa sikio, kunusa kungekuwa wapi?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 Kama mwili wote ungelikuwa jicho, kusikia kungekuwa wapi? Au kama mwili wote ungelikuwa sikio, kunusa kungekuwa wapi?

Tazama sura Nakili




1 Wakorintho 12:17
8 Marejeleo ya Msalaba  

Na sikio likisema, Mimi si jicho, mimi si wa mwili; je! si wa mwili kwa sababu hiyo?


Bali Mungu amevitia viungo killa kimoja katika mwili kama alivyotaka.


Na jicho haliwezi kuuambia mkono, Sina haja na wewe; wala tena kichwa hakiwezi kuiambia miguu, Sina baja na ninyi.


Je! wote ni mitume? wote ni manabii? wote ni waalimu? wote wanatenda miujiza?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo