Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

1 Wakorintho 12:16 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

16 Na sikio likisema, Mimi si jicho, mimi si wa mwili; je! si wa mwili kwa sababu hiyo?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

16 Kama sikio lingejisemea: “Kwa vile mimi si jicho, basi mimi si mali ya mwili,” je, kwa hoja hiyo lingekoma kuwa sehemu ya mwili? La!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

16 Kama sikio lingejisemea: “Kwa vile mimi si jicho, basi mimi si mali ya mwili,” je, kwa hoja hiyo lingekoma kuwa sehemu ya mwili? La!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

16 Kama sikio lingejisemea: “Kwa vile mimi si jicho, basi mimi si mali ya mwili,” je, kwa hoja hiyo lingekoma kuwa sehemu ya mwili? La!

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

16 Na kama sikio lingesema, “Kwa kuwa mimi si jicho, basi mimi si wa mwili,” hiyo isingefanya hilo sikio lisiwe sehemu ya mwili.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

16 Na kama sikio lingesema, “Kwa kuwa mimi si jicho, basi mimi si wa mwili,” hiyo isingefanya hilo sikio lisiwe sehemu ya mwili.

Tazama sura Nakili

1 Wakorintho 12:16
6 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa pendo la udugu, mwe na shauku ninyi kwa ninyi; kwa heshima mkiwatanguliza wenzenu;

Kwa maana kwa neema niliyopewa namwambia killa mtu alioko kwenu asinie makuu kupita ilivyompasa kunia; bali awe na nia ya kiasi, kama Mungu alivyoamgawi killa mtu kadiri ya imani.

Mguu ukisema, Kwa kuwa mimi si mkono, mimi si wa mwili; je! si wa mwili kwa sababu hiyo?

Kama mwili wote ukiwa jicho, ku wapi kusikia? kama wote ni sikio ku wapi kuona?

Bali zaidi sana vile viungo vya mwili vidhaniwavyo kuwa vinyonge zaidi vyahitajiwa zaidi.

Msitende neno lo lote kwa kushindana na kwa majivuno; bali kwa unyenyekevu, killa mtu na amhesabu mwenziwe kuwa hora kuliko nafsi yake;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo