Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Wakorintho 12:14 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

14 Kwa maana mwili hauwi kiungo kimoja, bali vingi.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

14 Mwili hauna kiungo kimoja tu, bali una viungo vingi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

14 Mwili hauna kiungo kimoja tu, bali una viungo vingi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

14 Mwili hauna kiungo kimoja tu, bali una viungo vingi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

14 Basi mwili si kiungo kimoja, bali ni viungo vingi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

14 Basi mwili si kiungo kimoja, bali ni viungo vingi.

Tazama sura Nakili




1 Wakorintho 12:14
6 Marejeleo ya Msalaba  

Maana kama vile mwili ni mmoja, nao nna viungo vingi, na viungo vyote vya mwili ule mmoja, navyo ni vingi, ni mwili mmoja; vivyo hivyo na Kristo.


Mguu ukisema, Kwa kuwa mimi si mkono, mimi si wa mwili; je! si wa mwili kwa sababu hiyo?


Lakini kama vyote vingekuwa kiungo kimoja, mwili ungekuwa wapi?


Lakini sasa viungo ni vingi, na mwili ni mmoja.


Bassi uvueni uwongo, mkaseme kweli killa mtu na jirani yake; kwa maana tu viungo, killa mmoja kiungo cha wenzake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo