1 Wakorintho 12:12 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192112 Maana kama vile mwili ni mmoja, nao nna viungo vingi, na viungo vyote vya mwili ule mmoja, navyo ni vingi, ni mwili mmoja; vivyo hivyo na Kristo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Kama vile mwili ulivyo mmoja wenye viungo vingi, na viungo hivyo vyote – ingawaje ni vingi – hufanya mwili mmoja, ndivyo ilivyo pia kwa Kristo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Kama vile mwili ulivyo mmoja wenye viungo vingi, na viungo hivyo vyote – ingawaje ni vingi – hufanya mwili mmoja, ndivyo ilivyo pia kwa Kristo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Kama vile mwili ulivyo mmoja wenye viungo vingi, na viungo hivyo vyote — ingawaje ni vingi — hufanya mwili mmoja, ndivyo ilivyo pia kwa Kristo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Kama vile mwili ulivyo mmoja nao una viungo vingi; navyo viungo vyote vya mwili ingawa ni vingi, ni mwili mmoja; vivyo hivyo na Al-Masihi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Kama vile mwili ulivyo mmoja nao una viungo vingi, navyo viungo vyote vya mwili ingawa ni vingi, ni mwili mmoja, vivyo hivyo na Al-Masihi. Tazama sura |