Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

1 Wakorintho 11:7 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

7 Kwa maana haimpasi mwanamume kufunikwa kichwa, kwa sababu ni mfano na utukufu wa Mungu. Lakini mwanake ni utukufu wa mwanamume.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 Haifai mwanamume kufunika kichwa chake, kwa kuwa yeye ni mfano wa Mungu na kioo cha utukufu wake Mungu; lakini mwanamke ni kioo cha utukufu wa mwanamume.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 Haifai mwanamume kufunika kichwa chake, kwa kuwa yeye ni mfano wa Mungu na kioo cha utukufu wake Mungu; lakini mwanamke ni kioo cha utukufu wa mwanamume.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 Haifai mwanamume kufunika kichwa chake, kwa kuwa yeye ni mfano wa Mungu na kioo cha utukufu wake Mungu; lakini mwanamke ni kioo cha utukufu wa mwanamume.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 Haimpasi mwanaume kufunika kichwa chake kwa kuwa yeye ni mfano wa Mungu na utukufu wa Mungu; lakini mwanamke ni utukufu wa mwanaume.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 Haimpasi mwanaume kufunika kichwa chake kwa kuwa yeye ni mfano wa Mungu na utukufu wa Mungu, lakini mwanamke ni utukufu wa mwanaume.

Tazama sura Nakili

1 Wakorintho 11:7
10 Marejeleo ya Msalaba  

Lakini nataka mjue ya kuwa kichwa cha killa mwanamume ni Kristo na kichwa cha mwanamke ni mwanamume, na kichwa cha Kristo ni Mungu.

Maana mwanamke asipofunikwa na anyoe. Au ikiwa ni unyonge mwanamke akate nywele zake au kunyoa, na afunikwe.

Bassi mtu akitaka khabari za Tito, yeye ni mshirika wangu, na mtenda kazi pamoja nami; tena akitaka khabari za ndugu zetu, wao ni mitume ya makanisa, na utukufu wa Kristo.

Kwa huo twamhimidi Mungu Baba yetu, na kwa huo twawalaani wana Adamu waliofanywa kwa mfano wa Mungu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo