Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

1 Wakorintho 11:6 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

6 Maana mwanamke asipofunikwa na anyoe. Au ikiwa ni unyonge mwanamke akate nywele zake au kunyoa, na afunikwe.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

6 Mwanamke asiyefunika kichwa chake, afadhali anyoe nywele zake. Lakini ni aibu kwa mwanamke kukatwa nywele zake au kunyolewa; basi, afadhali afunike kichwa chake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

6 Mwanamke asiyefunika kichwa chake, afadhali anyoe nywele zake. Lakini ni aibu kwa mwanamke kukatwa nywele zake au kunyolewa; basi, afadhali afunike kichwa chake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

6 Mwanamke asiyefunika kichwa chake, afadhali anyoe nywele zake. Lakini ni aibu kwa mwanamke kukatwa nywele zake au kunyolewa; basi, afadhali afunike kichwa chake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

6 Kama mwanamke hatajifunika kichwa chake, basi inampasa kunyoa nywele zake. Lakini kama ni aibu kwa mwanamke kukata au kunyoa nywele zake, basi afunike kichwa chake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

6 Kama mwanamke hatajifunika kichwa chake, basi inampasa kunyoa nywele zake. Lakini kama ni aibu kwa mwanamke kukata au kunyoa nywele zake, basi afunike kichwa chake.

Tazama sura Nakili

1 Wakorintho 11:6
5 Marejeleo ya Msalaba  

Paolo akazidi kukaa huko siku nyingi, kiisha akaagana na ndugu akatweka kwenda Shami; na Priskilla na Akula wakaenda pamoja nae, alipokwisha kunyoa kichwa chake katika Kenkrea; maana alikuwa ana nadhiri.

Bali killa mwanamke asalipo, au atoapo unabii, bila kufunika kichwa chake, yuaibisha kichwa chake; kwa maana yu sawa sawa nae aliyekata nywele zake.

Kwa maana haimpasi mwanamume kufunikwa kichwa, kwa sababu ni mfano na utukufu wa Mungu. Lakini mwanake ni utukufu wa mwanamume.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo