1 Wakorintho 11:28 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192128 Lakini mtu ajihoji nafsi yake, ndivyo aule mkate, na kukinywea kikombe. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema28 Basi, kila mtu ajichunguze mwenyewe kwanza, ndipo ale mkate huo na anywe kikombe hicho; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND28 Basi, kila mtu ajichunguze mwenyewe kwanza, ndipo ale mkate huo na anywe kikombe hicho; Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza28 Basi, kila mtu ajichunguze mwenyewe kwanza, ndipo ale mkate huo na anywe kikombe hicho; Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu28 Inampasa mtu ajichunguze mwenyewe, kabla ya kula mkate na kukinywea kikombe. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu28 Inampasa mtu ajichunguze mwenyewe, kabla ya kula mkate na kukinywea kikombe. Tazama sura |