Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Wakorintho 11:24 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

24 na akiisha kushukuru akaumega, akasema, Huu ndio mwili wangu ulio kwa ajili yenu; fanyeni hivi kwa ukumbusho wangii.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

24 akamshukuru Mungu, akaumega, akasema: “Huu ndio mwili wangu ulio kwa ajili yenu; fanyeni hivi kwa kunikumbuka.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

24 akamshukuru Mungu, akaumega, akasema: “Huu ndio mwili wangu ulio kwa ajili yenu; fanyeni hivi kwa kunikumbuka.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

24 akamshukuru Mungu, akaumega, akasema: “Huu ndio mwili wangu ulio kwa ajili yenu; fanyeni hivi kwa kunikumbuka.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

24 naye baada ya kushukuru, akaumega, akasema, “Huu ndio mwili wangu, uliotolewa kwa ajili yenu. Fanyeni hivi kwa ukumbusho wangu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

24 naye akiisha kushukuru, akaumega, akasema, “Huu ndio mwili wangu, uliotolewa kwa ajili yenu. Fanyeni hivi kwa ukumbusho wangu.”

Tazama sura Nakili




1 Wakorintho 11:24
20 Marejeleo ya Msalaba  

Amin, nawaambieni, Killa ikhuhiriwapo injili hii katika ulimwengu wote, na hilo alilolitenda huyu litatajwa kwa kumbukumbu lake.


Kwa maana mimi nalipokea kwa Bwana niliyowakhubirini, ya kuwa Bwana Yesu usiku ule aliotolewa alitwaa mkate,


Vivi hivi nacho kikombe baada ya kula, akisema, Kikombe hiki ni agano jipya katika damu yangu: fanyeni liivi killa mnywapo, kwa ukumbusho wangu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo