Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Wakorintho 11:20 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

20 Bassi mkutanikapo pamoja haiwezekani kula chakula cha Bwana;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

20 Kweli mnakutana, lakini si kwa ajili ya kula Karamu ya Bwana!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

20 Kweli mnakutana, lakini si kwa ajili ya kula Karamu ya Bwana!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

20 Kweli mnakutana, lakini si kwa ajili ya kula Karamu ya Bwana!

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

20 Mkutanikapo pamoja si Chakula cha Bwana Isa mnachokula,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

20 Mkutanikapo pamoja si chakula cha Bwana Isa mnachokula,

Tazama sura Nakili




1 Wakorintho 11:20
10 Marejeleo ya Msalaba  

Wakawa wakidumu katika fundisho la mitume, na katika ushirika, na katika kuumega mkate, na katika kusali.


Na siku zote kwa moyo mmoja walidumu ndani ya hekalu, wakimega mkate nyumba kwa nyumba, na kupokea chakula chao kwa furaha na kwa moyo mweupe,


Katika kuagiza hayo, siwasifu, ya kwamba mnakusanyika, si kwa faida bali kwa khasara;


kwa maana lazima kuwapo uzushi kwenu, illi waliokubaliwa wawe dhahiri kwenu.


kwa maana killa mmoja hutangulia kutwaa chakula chake katika kule kula; hatta huyu ana njaa, na huyu amelewa.


tusiache kukusanyika pamoja, kama ilivyo desturi ya wengine; bali tukionyana; na tukizidi, kwa kadiri mwonavyo siku ile kuwa inakaribia.


wakipatwa na madhara, ujira wa udhalimu wao, wakidhani kuwa ulevi wakati wa mchana ni anasa; ni mawaa na aibu, wakifuata anasa katika karamu zao za upendo, wafanyapo karamu pamoja nanyi;


Watu hawa ni miamba yenye khatari katika karamu zenu za upendo wafanyapo karamu pamoja nanyi, wakijilisha pasipo khofu; ni mawingu yasiyo na maji, yachukuliwayo na upepo; ni miti iliyopukutika, isiyo na matunda, iliyokufa marra mbili, na kungʼolewa kabisa;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo