1 Wakorintho 11:18 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192118 kwa maana kwanza mkutanikapo kanisani nasikia kuna faraka kwenu; na nussu kidogo nasadiki: Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Awali ya yote, nasikia kwamba mnapokutana pamoja hutokea mafarakano kati yenu. Nami naamini kiasi, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Awali ya yote, nasikia kwamba mnapokutana pamoja hutokea mafarakano kati yenu. Nami naamini kiasi, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Awali ya yote, nasikia kwamba mnapokutana pamoja hutokea mafarakano kati yenu. Nami naamini kiasi, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Kwanza, mnapokutana kama kundi la waumini, nasikia kwamba kuna mgawanyiko miongoni mwenu, nami kwa kiasi fulani nasadiki kuwa ndivyo ilivyo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Kwanza, mnapokutana kama kundi la waumini, nasikia kwamba kuna mgawanyiko miongoni mwenu, nami kwa kiasi fulani nasadiki kuwa ndivyo ilivyo. Tazama sura |