1 Wakorintho 11:15 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192115 lakini mwanamke akiwa na nywele ndefu ni ntukufu kwake. Kwa sababu amepewa zile nywele ndefu illi ziwe badala ya mavazi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 lakini kwa mwanamke kuwa na nywele ni heshima kwake; nywele zake ndefu amepewa ili zimfunike. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 lakini kwa mwanamke kuwa na nywele ni heshima kwake; nywele zake ndefu amepewa ili zimfunike. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 lakini kwa mwanamke kuwa na nywele ni heshima kwake; nywele zake ndefu amepewa ili zimfunike. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Lakini mwanamke akiwa na nywele ndefu ni utukufu kwake? Kwa maana mwanamke amepewa nywele ndefu ili kumfunika. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Lakini mwanamke akiwa na nywele ndefu ni utukufu kwake? Kwa maana mwanamke amepewa nywele ndefu ili kumfunika. Tazama sura |