1 Wakorintho 11:14 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192114 Je! sharia ya asili yenyewe haiwafundishi ya kwamba mwanamume akiwa na nywele ndefu ni aibu kwake; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Hata maumbile yenyewe huonesha wazi kwamba kwa mwanamume kuwa na nywele ndefu ni aibu kwake mwenyewe; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Hata maumbile yenyewe huonesha wazi kwamba kwa mwanamume kuwa na nywele ndefu ni aibu kwake mwenyewe; Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Hata maumbile yenyewe huonesha wazi kwamba kwa mwanamume kuwa na nywele ndefu ni aibu kwake mwenyewe; Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Je, maumbile ya asili hayatufundishi kuwa ni aibu kwa mwanaume kuwa na nywele ndefu? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Je, maumbile ya asili hayatufundishi kuwa ni aibu kwa mwanaume kuwa na nywele ndefu? Tazama sura |