1 Wakorintho 11:11 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192111 Illakini mwanamume hawi pasipo mwanamke, wala mwanamke pasipo mwanamume, katika Bwana. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Hata hivyo, mbele ya Bwana mwanamke si kitu bila mwanamume, naye mwanamume si kitu bila mwanamke. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Hata hivyo, mbele ya Bwana mwanamke si kitu bila mwanamume, naye mwanamume si kitu bila mwanamke. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Hata hivyo, mbele ya Bwana mwanamke si kitu bila mwanamume, naye mwanamume si kitu bila mwanamke. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Lakini katika Bwana Isa, mwanamke hajitegemei pasipo mwanaume na mwanaume hajitegemei pasipo mwanamke. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Lakini katika Bwana Isa, mwanamke hajitegemei pasipo mwanaume na mwanaume hajitegemei pasipo mwanamke. Tazama sura |