Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

1 Wakorintho 11:10 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

10 Kwa hiyo imempasa mwanamke awe na dalili ya kumilikiwa kichwani pake, kwa ajili ya malaika.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 Ndiyo maana mwanamke hufunika kichwa chake, iwe ishara ya mamlaka yaliyo juu yake, na pia kwa sababu ya malaika.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 Ndiyo maana mwanamke hufunika kichwa chake, iwe ishara ya mamlaka yaliyo juu yake, na pia kwa sababu ya malaika.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 Ndiyo maana mwanamke hufunika kichwa chake, iwe ishara ya mamlaka yaliyo juu yake, na pia kwa sababu ya malaika.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 Kwa sababu hii na kwa sababu ya malaika, inampasa mwanamke awe na ishara ya mamlaka juu yake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 Kwa sababu hii na kwa sababu ya malaika, inampasa mwanamke awe na ishara ya mamlaka juu yake.

Tazama sura Nakili

1 Wakorintho 11:10
7 Marejeleo ya Msalaba  

Angalieni msidharau mmoja wa wadogo hawa; kwa maana nawaambieni ya kwamba malaika zao mbinguni siku zote wanamtazama uso wa Baba yangu aliye mbinguni.

Illakini mwanamume hawi pasipo mwanamke, wala mwanamke pasipo mwanamume, katika Bwana.

Wala mwanamume hakuumbwa kwa ajili ya mwanamke, bali mwanamke kwa ajili ya mwanamume.

Hawo wote si roho zitumikazo, wakitumwa kuwakhudumu wale watakaourithi wokofu?

Tufuate:

Matangazo

Matangazo