1 Wakorintho 11:1 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19211 MWE wafuasi wangu kama mimi nilivyo mfuasi wa Kristo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Niigeni mimi kama nami ninavyomwiga Kristo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Niigeni mimi kama nami ninavyomwiga Kristo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Niigeni mimi kama nami ninavyomwiga Kristo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Igeni mfano wangu, kama ninavyouiga mfano wa Al-Masihi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Igeni mfano wangu, kama ninavyouiga mfano wa Al-Masihi. Tazama sura |